VPL: MAXIMO ASEMA KIKOSI KIKO IMARA
Marcio Maximo kocha wa Yanga
amesema kikosi kiko imara sana na 'Inshallah' watafanya mambo Jumamosi
ijayo dhidi ya Simba SC...Nilikutana na Maximo na kikosi chake katika
hotel mpya ya Land Mark iliyopo mitaa ya Jangwani beach...Simba wao wako
South Africa wakijifua tayari kupambana na watani wao wakubwa
Yanga...Tusubiri tuone nani ataibuka kidedea Jumamosi...
No comments:
Post a Comment