Wednesday, 15 October 2014

Picha ;Serengeti super nyota diva dani ya studio kubwa za redio ya watu clouds fm

super nyota diva  katika picha moja na watangazaji wa xxl B12 na  Dj Fetty.
                                                                       
 

hawa ndiyo super nyota diva walipita mikoani kwenye serengeti diva waliokuja leo ndani ya studio za clouds fm wakisubiria siku ya ijumaa ambapo watafanyiwa mchujo wa mwisho kumpata super nyota diva mmoja atakaye panda jukwaa moja la serengeti fiesta na msanii mkubwa T I jumamosi hii ya tarehe 18/10/2014 pale Leaders club.

No comments:

Post a Comment