Wednesday, 29 October 2014

NJEMBA LANASWA LIKIWATISHIA WAFANYABIASHARA KWA KISU WAMPATIE HELA YA KULA DAR


 Askari Polisi wakiwa wamemkamata kijana aliyetuhumiwa kutumia kisu kumtishia mmoja wa wafanyabiashara wa duka ili apatiwe sh. 1,000 ya kununua chakula katika Mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

No comments:

Post a Comment