Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video
hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka
iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana
mate kwa kiss za uweli.
Je, uhalisia huu kwenye filamu za Bongo unakubalika kimaadili? Bila
shaka haukubaliki hapa kwetu Tanzania. Bado hatuko huko Hollywood na
naamini kipande hicho kitatolewa.

No comments:
Post a Comment