Filamu mpya ya Jacob Stephen inayoitwa Mikono Salama ni historia kwa
staa huyo kwa kua ndio filamu ya mwisho ambayo amecheza na swaiba wake
mkubwa Adamu Kuambiana ambaye ametangulia mbele ya haki
filmu hiyo imeingia sokoni leo na inasambazwa na kampuni kubwa kabisa ya
kuzalisha filamu nchini steps entertainment,pata nakala yako sasa
No comments:
Post a Comment