| Mwanfunzi
wa CBE Mkoani Dodoma ambaye ni shabiki mkubwa sana wa Diamond weekend
hii Alionekana mwenye furaha sana iliyopitiliza akiwa kwenye show ya
Daimond baada ya kupata taarifa kuwa mchumba wake Amejifungua mtoto wa
kiume, Mwanafunzi huyo aliamua kupanda jukwaani na kutamka wazi kwa
mtoto wake Anampatia Jina La Nasibu kama Ishara ya kumbukumbu ya Msanii
huyo mabaye Anamkuli sana kuliko wasanii wote |
No comments:
Post a Comment