
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies,Aunt
Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses
Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa
wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar.
Tukio
hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri
Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo.
Mwanahabari
wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini
wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu
kusindikizana.”
swali je ni Kweli?
swali je ni Kweli?
No comments:
Post a Comment