Wednesday, 24 September 2014

VIONGOZI CHADEMA DODOMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAACHIWA KWA DHAMANA










Mkuu
wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (Katikati), akiongozana na
washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakitoka
mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23, 2014. 




Lisu
ambaye alikuwa akiwatete washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi wa
chama hicho mkoani Dodoma, alisema, walishtakiwa kwa kosa la
kukusanyika isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka  huu,wiki iliyopita na
waliachiwa huru kwa dhamana.








Lisu akiongozana na washtakiwa wakati wakitoka mahakani hapo, Jumanne Septemba 23, 2014


No comments:

Post a Comment