Kila
siku vituo mbalimbali vikubwa vya TV Afrika hupokea mamia ya video za
Wasanii kutoka nchi mbalimbali za bara hili kwenye kipindi hiki ambacho
video zimekua ni ushindani mkubwa mpaka wengine kutumia mamilioni ya
pesa kuziandaa tu.
Nigeria
bado imekua nchi inayoongoza kwa video zake kuchezwa kwenye TV
mbalimbali ambapo kwenye playlist ya leo nimekutana na hii pia ya ‘shake
body’ ya Skales ambayo ni miongoni mwa zinazochezwa sana.
No comments:
Post a Comment