Monday, 1 September 2014

Vazi la Lulu Michael Lawatesa Wanaume Wapenda Sketi







Vazi 
alilokuwa  amevaa Lulu  Michael  katika  fainali  za  Shindano  la 
TMT  lilizua  balaa  kubwa  kwa  wanaume  wapenda  sketi  baada  ya 
vazi  hilo  kuanika  hadharani  maungo  nyeti  ya  msanii  huyo.


Katika  shindano  hilo, Binti  mdogo  toka  Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka  kidedea  na  kujinyakulia  milioni  50

No comments:

Post a Comment