Tuesday, 23 September 2014

UJAUZITO WA WATOTO MAPACHA WA WITNES UMEHARIBIKA!



Ujauzito wa msanii wa Witnes umeharibika siku ya ijumaa iliyopita na anasema hadi sasa hajajua chanzo ni nini.

Witnes akizungumza na paparazi amesema ulikuwa na ujauzito wa watoto mapacha ila yeye anaendelea vizuri kwa sasa.


Pole sana Witnes!

No comments:

Post a Comment