Picha za Uchi za Watu maarufu Zaanikwa mitandaoni .....FBI Waingia Mzigoni kunusuru jahazi
Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI inachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu
kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu hao maarufu
ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji kujulikana.
Hili
limemkuta mshindi wa tuzo ya Oscar Jennifer Lawrence ambaye picha zake
za uchi liachiliwa mtandaoni, kampuni ya utengenezaji wa simu za
mkononi Apple wamesema wao wanachunguza ikiwa uvujaji wa picha hizo
umesababishwa na iCloud .
No comments:
Post a Comment