Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto.
MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza na paparazi hivi karibuni,
Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa
wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu
ambacho hakina ukweli wowote.
“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui
nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka
hadharani na kila Mtanzania atamjua,” alisema Hamisa.
No comments:
Post a Comment