Thursday, 28 August 2014

Sikiliza Hapa Kazi Mpya Ya GNL Zamba-Going Bananas

http://www.hulkshare.com/sammisago/gnl-zamba-going-bananas

IMG-20140828-WA0010Burudika na kazi mpya ya msanii kutoka Uganda GNL Zamba, Wimbo unaitwa Going Bananas kutoka kwenye album ya Boss Gangstar.Kwa sasa GNL anamiliki rekodi lebel yake aliyoipa jina Baboon Forest.

No comments:

Post a Comment