MAAJABU: WATU WASIOJULIKANA WAFUKUA MWILI WA MREHEMU NA KUIBA NGUO ALIZOKUWA AMEVAA ALIPOZIKWA !!
Watu
wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi
eneo la zizini wilayani handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho
aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya
mwili wa marehemu kuzikwa.
No comments:
Post a Comment