Tuesday, 26 August 2014

FUSO LAUA MWENDESHA BAISKELI IFAKARA, MORO




Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.



Baiskeli ya marehemu ikipakiwa kwenye gari.

Wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWENDESHA baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani Morogoro jana.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzani

No comments:

Post a Comment