Baada ya Promo Nyingi, Hatimaye Video Mpya ya Nick Minaj iitwayo ANACONDA Imetoka.....Bofya hapa kuitazama
Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj, mwenye sifa ya utumiaji dawa za kulevya na aliewahi kutaka kumuua Mama Minaj kwa kutishia kuchoma moto nyumba yao.
Nicki
ni staa kutoka kwenye familia ya kawaida tu kiuwezo lakini muziki wake
umebadilisha maisha yake na ya familia ambapo kwenye mfululizo wa
kuzitoa nyimbo zake, anatukutanisha na hii video yake mpya.

No comments:
Post a Comment