Asha Boko akifurahia jambo na njemba hiyo.
Msanii maarufu wa komedi, Asha Mzuzuri
maarufu kama Asha Boko, Alhamisi ya wiki iliyopita alinaswa na kamera
yetu akiimbishwa na njemba eneo la choo cha wanawake ndani ya Ukumbi wa
Mango Garden jijini Dar es Salaam siku ambayo Mashauzi Classic ilikuwa
ikitoa burudani.
Msanii maarufu wa komedi, Asha Mzuzuri maarufu kama Asha Boko akiwa na njemba eneo la choo cha wanawake.
Katika tukio hilo paparazi wetu
aliwanasa wawili hao wakiwa kwenye maongezi huku wakijiachia kwa pozi za
kimahaba na waliposhtukia kufotolewa waling’aka na kutishia kuharibu
kamera.
“Hizi ni ishu zetu binafsi bwana,
itakuwaje mtufuatilie mpaka chooni watu tushindwe hata kujiachia,”
alisema Asha Boko, akichekacheka baada ya kubaini kubambwa.
No comments:
Post a Comment