Tuesday, 26 August 2014

AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA COASTER MOROGORO



MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Mgogo, ambaye ni dereva  wa bodaboda amegongwa gari na kufariki papo hapo, jioni hii mkoani Morogoro.

Askari wa usalama barabarani wakipima eneo la ajali.


Mwili wa marehemu ukiwa umewekwa ndani ya gari.
Gari iliyomgonga dereva huyo ni aina ya Coaster  inayofanya safari ya Kihonda Mjini mkoani humo.

No comments:

Post a Comment