Wengine watakaotumbuiza siku hiyo ni mcheza gitaa maarufu Carlos Santana na rapper Wyclef Jean.
Shirikisho la soka duniani, FIFA limesema Shakira, ambaye atatumbuiza kwa mara ya tatu mfululizo kwenye fainali za kombe la dunia ataimba wimbo La la la (Brazil 2014) na muimbaji wa Brazil, Carlinhos Brown.
Santana, Wyclef na muimbaji wa Brazil, Alexandre Pires watatumbuiza wimbo rasmi wa mashindano hayo, “Dar Um Jeito” kwenye uwanja Maracana.
No comments:
Post a Comment