Wednesday, 2 July 2014

Sakata la Mwanamke aliyemuua mumewe kwa kukataa kumnunulia viatu

Sakata la Mwanamke aliyemuua mumewe kwa kukataa kumnunulia viatu


Ni katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa kumnunulia viatu vyenye thamani ya shilingi za Kenya 1000 ambazo ni sawa na kama shilingi elfu 18 za kitanzania.
 
Chini ya hakimu Heziah Kiago aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo inadaiwa mwanamke huyo na mumewe walikuwa katika matembezi eneo la Makutano ndipo alipoona viatu hivyo na kumuomba mumewe amnunulie ambapo baada  ya mumewe kukataa na Njeri  kusubiri hadi walipofika nyumbani akamchoma kisu cha shingoni.
 
Angalia Video nzima ya story yenyewe kama ilivyoripotiwa na kituo cha Citizen Tv Kenya.

play video hapa chini


waweza check >>hapa<<

No comments:

Post a Comment