Saturday, 5 July 2014

PATA UHONDO KIDUCHU WA PICHA ZA VIDEO MPYA YA FA MFALME


Mfalme ni single ambayo ndani ya wiki nne za kuwa ndani ya chati ya CloudsFM Top20 imevunja rekodi yake kwa kufika mpaka kwenye nafasi ya 2 baada ya kuzipita nyingine nyingi ambazo zina zaidi ya wiki tano kwenye countdown.
Wakati single ikifanya vizuri kwenye Radio, chati za TV pia zinaisubiri video yake ambayo imefanywa nchini Kenya sehemu inaitwa Magadi ambako ni kama dakika 180 kwa mwendo wa gari binafsi kutoka Nairobi.
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20Kama una chochote cha moyoni unaweza kukiandika hapa chini kwenye comment mtu wangu ili Mwana FA na G Nako wakipita baadae wajue yanayosemwa na watu wao.
21Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta FB
Copy of GT5A0047
MAONI

No comments:

Post a Comment