Thursday, 10 July 2014

New Video: Yemi Alade wa Naija sasa ampata ‘Johnny wake’! Mtazame katika video yake mpya ‘Tangerine’



Mwimbaji wa Nigeria Yemi Alade hana jina kubwa sana Tanzania, lakini video na wimbo wake wa ‘Johnny’ (I’m looking for my Johnny…questiion) umejipatia umaarufu mkubwa.

Yemi ameachia video mpya ‘Tangerine’ ambayo ndani yake kamuonesha video model wa kiume muigizaji Alex Ekubo, ambaye kwenye video anaonekana amevaa jezi iliyandikwa ‘Johnny’ kwa nyuma. Hii inaunganisha maana ya wimbo wake uliopita kuashiria amempata Johnny wake.


bofya play
Video imetayarishwa na muongozaji wa Nigeria Clarence peters.

No comments:

Post a Comment