MKE WA MTU NI SUMU: Waswahili hawakukosea hata kidogo katika msemo huu...!
Kijana
aliyejulikana kwa jina la Mussa mkazi wa Kitunda hatoweza sahau
maishani mwake maswahibu yaliyomkuta baada ya kuwekewa mtego na mwenye
mali hatimaye kunaswa live...!
Mke anauma jamani, ukitaka kuamini basi shuhudia mwenyewe kilichomkuta kijana Mussa...!Tafadhali picha zifuatazo hazina maadili kabisa...
Mke anauma jamani, ukitaka kuamini basi shuhudia mwenyewe kilichomkuta kijana Mussa...!Tafadhali picha zifuatazo hazina maadili kabisa...

No comments:
Post a Comment