Mwanadafada mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Akipiga
stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo
huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi
akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
“Zamani
nilikuwa nikiogopa kuigiza nusu utupu. Wenzetu Nigeria wameendelea na
ndiyo maana wanaigiza hata nusu utupu, kama itatokea nafasi ya kuigiza
huko (nje ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari,” alisema Batuli.
No comments:
Post a Comment