KWA MARA YA KWANZA BET YAPIGA NYIMBO KUTOKA TANZANIA. SOMA ZAIDI HAPA

Katika
jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika
historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz
“Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya
BET,
DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea
kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na
kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na
maelfu ya watazamaji duniani kote.
Diamond
Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine
kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii
anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo
fleva.
No comments:
Post a Comment