Nyota
wa muziki Justin Bieber amewaacha kwenye mshangao mashabiki wake baada
ya kupost picha ya selfie akiwa hana nguo mtandaoni.
Mwimbaji
huyo hivi karibuni amekuwa akitupia picha mbalimbali katika mitandao ya
kijamii bila kujali wakati mwingine zikiwa nusu utupu kwa muda wa wiki
nzima.
Saa
chache zilizopita Justin alionekana studio akiwa na msichana anayedaiwa
kuwa nae karibu katika siku za karibuni Chantel Jefferies pamoja na
msichana mwingine baada ya mapenzi yake na Selena Gomez kuonekana
yakilegalega.
No comments:
Post a Comment