
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
amesema hadi sasa uamuzi wake wa kugombea Urais mwaka ujao umefikia asilimia 90. Akihojiwa na mshindi wa tuzo za watu kwenye kipengele cha mtangazaji wa runinga anayependwa, Salim Kikeke kwenye kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC Swahili, Makamba amesema kuna mambo ya kujiuliza kabla ya kuamua kuchukua uamuzi huo.
Mtazame hapa.
No comments:
Post a Comment