Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia.
Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "hisia" kabla ya kuanza kufanya
mapenzi.
Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "hisia" kabla ya kuanza kufanya
mapenzi.
Wawili
hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini
lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa
kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia
sms ndo inasisimua zaidi!
Hapa najua naongea na watu wazima,
Hapa najua naongea na watu wazima,
sina
haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa
tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani,
mfano;
Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"
Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"
Maneno
haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo
"Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa
nafasi yake.......!
Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo
No comments:
Post a Comment