Msajili
wa vyama vya siasa nchini, jaji Francisi Mutungi ameuagiza uongozi wa
Chadema kuitisha baraza kuu ili waitishe mkutano mkuu.

Pia,
amewazuia mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na katibu mkuu wake Dr.
Wilbrod Slaa kugombea uongozi ndani ya chama hicho hadi pale
watakapoafikiana kuhusu kipengele cha ukomo wa uongozi.

Uamuzi
huo wa jaji Mutungi unakuja siku chache tuu baada ya wajumbe wa mkutano
mkuu na baraza kuu wa Chadema kufikisha malalamiko yao kwa msajili,
wakilalamikia uongozi wa Chadema kukiuka katiba.

Taarifa
ya jaji Mutungi kwa vyombo vya habari, iliyotolewa Dar es salaam,
alisema ni vyema wakaitisha mkutano rasmi na halali kwa mujibu wa katiba
yao.

Aliongeza,
kisha wafanye upya tafakari stahiki kuhusu suala linalohusu marekebisho
ya katiba ibara 6.3.2(c), kwa kuzingatia taratibu na hatua zinazopaswa
ili kuwezeshwa kwa ibara hiyo katika mkutano mkuu kwa lengo la
kupitishwa rasmi na mkutano huo ambao ndiyo wenye mamlaka halali kwa
mujibu wa katiba ya Chadema.

Kabla
ya wajumbe wa mkutano mkuu na baraza kuu kucharuka na kwenda kwa
msajili wa vyama vya siasa, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa
Arusha, Samson Mwigamba aliwasilisha hoja ya kipengele hicho kwa msajili
wa vyama vya siasa.

"Tumekuwa
katika mawasiliano kadhaa ya maandishi kuhusu suala linalogusa katiba
ya Chadema toleo la mwaka 2006. Mawasiliano yetu yalijikita hasa kwenye
hoja ya ukomo wa uongozi kama ilivyo katika katiba yenu toleo la mwaka
2004.

"Kimsingi,
Mwigamba kama mwanachama ndiye aliyewasilisha hoja hiyo kudai kuwa,
suala hilo limeondolewa katika katiba yao toleo la mwaka 2006, bila
idhini ya mkutano mkuu ambao ndiyo wenye mamlaka ya kurekebisha katiba
ya chama.

"Ingawa
ni kweli mwigamba nimesikia kupitia vyombo vya habari kuwa, si
mwanachama wenu tena, lakini yumkini sina shaka hoja inayozungumzwa,
bado ni ya msingi, kwa vile inagusa katiba na iliwasilishwa na mtoa hoja
akiwa mwanachama wa Chadema,'' alisema jaji Mutungi kwenye maelezo yake kwa Chadema kuhusu yanayoendelea sasa.

Hivyo,
wajumbe wa baraza kuu la Chadema na mkutano mkuu walipoamua kwenda
kwake wiki iliyopita jijini dar es slaam, aliwaambia malalamiko yao
aliyatolea majibu.

Jaji Mutungi alisema barua yake ya januari 15, mwaka huu, alitoa ufafanuzi kuhusu kuondolewa kipengele cha ukomo wa uongozi.
Hivyo,
aliamua kutoa taarifa yake tena kwa wajumbe hao ili kuthibitisha kuwa,
alishalitolea uamuzi na kuishauri Chadema kuitisha baraza kuu na kisha
mkutanao mkuu.

Jaji
Mutungi katika barua yake yenye kumbukumbu namba DA.112/123/16A/19,
aliwaambia Chadema ni busara hoja ya Mwigamba isiachwe kwa kigezo tu si
mwanachama, bali inaastahili kujadiliwa na kupata ufumbuzi wake.

Alisema
suala hilo linagusa katiba , hivyo aliamua kulipa uzito unaostahili kwa
kuzingatia dhamira tarajiwa ya katiba ya Chadema.

Kwa
mujibu wa taarifa ya jaji mutungi ni kwamba,katika kutafuta ufumbuzi wa
suala hilo aliamua kujiridhisha na usahihi wa taarifa hizo kwa kupitia
kumbukumbu ilizonazo, ikijumuisha na malezo yao.

baada ya kupitia kumbukumbu, ofisi yake ilibaini mambo kadhaa ikiwemola
muhtasari wa kikao cha mkutano mkuu wa agosti 13, mwaka 2013 suala la
kuondoa ukomo wa uongozi katika katiba yao ya mwaka 2004,halikuonesha
kujadiliwa na mkutano mkuu.

mujibu wa jaji ni kwamba, ibara zilizofanyiwa marekebisho ni
2.4,3.B,4.2.9,5.4.8, 5.4.6, 6.1.1, 6.2.3(d), 7.4B,7.5,7.6, 7.7.5,
7.7.8,7.7.13,7.7.19 na 7.8 kwa maana nyingine hizo ndizo ibara pekee
zilizofanyiwa marekebisho na mkutano mkuu wa mwaka 2006.

Pia alisema ibara 6.3.2.(c), ambayo ndiyo mlengwa katika mjadala huo, haikutajwa wala kuonekana katika muhtasari huo.
"Ibara
9.1.3 ya katiba yenu inatajwa kuwa, mkutano mkuu ndio wenye mamlaka ya
juu ya kubadili katiba, hivyo suala hilo la marekebisho ya ibara ya
6.3.2(c), budi lingestahili kujadiliwa na kupitishwa kwenye mkutano
mkuu''. alisema.

Aliongeza
iwapo kama hatua zilizoainishwa kwenye katiba hazikuzingatiwa, vivyo
hivyo ofisi ya msajili wa vyama vya siasa hawezi kutambua uwepo, wala
matumizi ya ibara hiyo kwa mujibu wa hayo marekebisho yaliyofanyika bila
kuzingatia hatua stahiki.

Wakati
hayo yanaendelea, kurugenzi ya mawasiliano Chadema kupitia john myika
iliweka wazi kuwa, hao wanaojiita wajumbe wa mkutano mkuu wanatumika
kuvuruga chama hicho na wakati ukifika, atataja hadharani majina ya
wanaofadhili malumbano hayo.

Credit: Jambo Leo

No comments:
Post a Comment