Saturday, 26 July 2014

BREAKING NEWS:AJALI MBAYA YA BASI LA HOOD ASUBUHI HII LIKITOKEA MBEYA....PICHA HIZI HAPA




Muda mchache baada ajali kutokea 
 Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio  na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo





 Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii likitoka Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa, endelea kufutilia hapa kupata taarifa kamili hii ni taarifa ya awali.
 

No comments:

Post a Comment