Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel amesema anatamani iwe leo au
kesho apate mtoto kwani umri wake unaruhusu.Akipiga stori mbili-tatu na
paparazi wetu, Aunty alisema kuwa anatamani kuwa mama si kwa kufuata
mkumbo bali anataka kuwa mama kwani sasa ni muda muafaka kwake.
“Natamani kwelikweli na mimi siku moja niwe mama wa mtoto sema tu
sijabahatika kupata ila naendelea kumuomba Mungu ili ndoto zangu ziweze
kutimia,” alisema Aunty Ezekiel.
No comments:
Post a Comment