Watu
wakiuangalia mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina jina lake baada
kugongwa na gari lisilofahamika na kufa papo hapo, katika eneo la bohari
ya mkoa kati ya bunge na kituo cha mabasi yaendayo mikoani, barabara ya
Morogoro - Dodoma.

Polisi
wa usalama barabarani wakisaidiana na wananchi kuupakia mwili wa mtu
aliyekutwa amegogwa na kufa papo hapo na gari ambalo halikujulikana
baada ya kukimbia katika barabara ya Morogoro - Dodoma karibu na jengo
la bunge la Tanzania.

MWANAMKE
asiyefahamika wa umri wa makamo amepoteza maisha baada ya kugongwa na
gari aina ya Coster linalofanya shughuli za Daladala kati ya Udom
Nanenane ambalo halikufahamika namba zake za usajili na kisha Gari hilo
kutokomea kusikojulikana.

Kwa
mujibu wa mashuhuda walioshudia tukio hilo wamesema majira ya saa 2. 30
walishuhudia kishindo kikubwa Barabarani eneo la Bohari karibu na
kipitashoto kilichopo kituo cha mabasi yaendayo mikoani mjini Dodoma,
ambapo baada ya kishindo hicho gari hilo liliendelea na safari zake.

Mmoja
wa mashuhuda hao aliyejitambulisha kwa jina moja la Baraka amesema
hakumuona mtu huyo wakati anavuka bali aliona Costaer hiyo mita chache
kabla ya kusikia kishindo hicho na kilichomfanya ajue kuwa

ni
mtu kagongwa ni kutokana na gari la nyuma kumulika mwanga
ndipo alipoona tairi ya nyuma ikimalizikia kumkanyaga na kufa hapohapo.

Mkaguzi
wa polisi wa usalama Barabarani Methew Mtakije aliyefika kushuhudia
tukio hilo alisema tukio hilo lilisababishwa na mwendo kasi wa Dereva wa
gari hilo ambaye alikiuka sheria za usalama barabarani ambazo zinamtaka
kila dereva kuendesha spidi 50 kwa saa wanapokuwa

mijini.
MtakijaAmesema
mwendo kasi ni hatari wakati wowote hasa nyakati za usikukutokana na
muono mdogo unaosababishwa na giza hivyo madereva wotewazingatie sheria
zilizopo ili waweze kuepusha ajili, na kuahidi kulisakagari hilo mpaka
kulipata.

Mwili wa Marehemu huyo ambae bado hajafahamika umehifadhiwa katika chumba cha maiti kilichopo katika hospitali yamkoa wa Dodoma

No comments:
Post a Comment