Sunday, 8 June 2014

yaliyojiri KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL



yaliyojiri KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Waombolezaji
wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small'
aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es
Salaam.




Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.
Sauda akilia kwa uchungu.

No comments:

Post a Comment