Watuhumiwa wa Kesi ya Mtoto wa Boksi kusomewa Mahitaka Upya.....Wananchi wavamia gari ya Polisi na kuanza kuwazomea watuhumiwa
Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo.
Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.
Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.
Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.
Wananachi
hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa waliorejeswa polisi kwa
mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.





No comments:
Post a Comment