wakubwa tu: CHEKI NGUO ZENYE UADUI NA MWANGA WA KAMERA NI HATARI MWANAWANE!!
Mara nyingi tunawaona wadada
wanapenda sana kuvaa nguo nyeusi zenye kubana miili yao kisha
kutinganazo sehemu za sherehe na kupiga picha pasipo kujua kama kwamba
mwanga wa kamera una akisi hadi ndani na kuonyesha sehemu ya miili yao.
No comments:
Post a Comment