Tuesday, 3 June 2014

VIFO VYA WASANII VINAVYOENDELEA NCHINI:vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili......soma habari kidokezo hapa

VIFO VYA WASANII VINAVYOENDELEA NCHINI:vitaendelea mpaka mwakani mwezi Aprili......soma habari kidokezo hapa

Maalim Hassan Hussein
MTOTO
wa aliyekuwa mtabiri bingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya
Hussein, Maalim Hassan Hussein leo kafunguka kuhusu vifo vya wasanii
vinavyoendelea nchini. Maalim Hassan amesema vifo hivyo vitaendelea
mpaka mwakani mwezi Aprili.

No comments:

Post a Comment