VIDEO: MZEE SMALL WAKATI AKISUMBULIWA NA MARADHI....mwili wa MZEE SMALL KUZIKWA KESHO MAKABURI YA SEGEREA
ICHECK VIDEO >>>HAPA<<<
MZEE SMALL KUZIKWA KESHO MAKABURI YA SEGEREA
MWILI
wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’
utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es
Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment