TUKIO LA AJABU LINALOHUSISHWA NA USHIRIKINA KAZINI!
Gari la polisi likiwa eneo la tukio ambapo jamaa (aliyekaa chini kulia) aliyekumbwa na tatizo hilo akiwa chini akihangaika.
MTU
mmoja ambaye anasadikiwa kula chakula na baadaye kuanza kuchanganyikiwa
alinaswa na kamera yetu leo akisugua miguu ardhini na kujikuna mwili
mzima, jambo ambalo lilidaiwa na wapita njia kuwa alikuwa amekula
chakula kilichokuwa maalumu kwa ajili ya kafara.
Haikujulikana
chakula hicho amekila wapi na ni chakula gani. Jina lake pia
halikuweza kupatikana mpaka kamera yetu inaondoka sehemu hiyo.
No comments:
Post a Comment