TASWIRA ZA KITUO CHA MWENGE KILIVYO KWA SASA MARA BAADA YA KUFUNGWA
Kibao
kikionyesha kuwa hakuna kituo chochote kutoka Mwenge hadi Lufungila.
Lufingila ndio Kituo Cha Kwanza ukiwa unatokea Mwenge kuelekea Ubungo.
Gari
la Manispaa ya Kinondoni likipita ndani ya kilichokuwa Kituo Cha Mabasi
Mwenge kuwatangazia Wafanyabiashara ndogondogo kuonda eneo hilo hadi
kufikia Saa Kumi na Mbili Jioni.
Wafanyabiashara wakiendelea kufanya biashara zao huku wakitakiwa kuondoka ifikapo saa kumi na mbili jioni.
No comments:
Post a Comment