
Salma Jabu Nisha/ Acress At Bongo Movies
MPAKA kufika hapa ni kwa uwezo wa mwenyezi mungu na sio kinginecho,.. Nafurahi sana kuona kazi zangu zinaenda sawa hivyo nna imani kwa
mwenendo huu ntafika mbali kupitia pia suport yenu mashabiki wangu mungu awabariki. Alisema Nisha

Mmoja kati waliofanikiwa kuinyaka Filamu hio ya ZENA NA BETINA kitaani yani raha tupuuuuuuuu!!!!
No comments:
Post a Comment