Chanzo
kilichoshuhudia ajali hiyo kilieleza kuwa, ilitokea maeneo ya Sinza
Kijiweni jijini Dar akiwa amepakizwa kwenye pikipiki gari ndogo
iliwagonga kwa nyuma na kumfanya avunjike mguu.
Katika kujua ukweli wa tukio hilo,Sherry ambaye alisema:
Katika kujua ukweli wa tukio hilo,Sherry ambaye alisema:
“Ilkuwa
ajali mbaya sana, niliona roho yangu inaondoka hivihivi. Dereva
hakuumia sana ila mimi niliumia na kupelekwa pale Hospitali ya
Palestina, nilipopigwa X-Ray ikabainika mguu umevunjika wakanifunga
hogo.”
No comments:
Post a Comment