SPOTTED: DIAMOND PLATNUMZ & PRESIDENT KIKWETE IN MANHATTAN, NEW YORK.
Watu na nyota zaooooo safi sana Chibu
2 Days
to go then voting lines close. Bado siku mbili kupiga kura kunafungwa
MTV please please naombeni tupige kura, "#teamtanzania #teamuzalendo
#teameastafrica #marafiki naombeni tuendelee kumpigia kura
@diamondplatnumz kwenye MTV ili aweze kushinda kweye tuzo za MAMA.
Mwisho wa upugaji kura ni midnight 4 June 2014. Jamani sisi ndo tutakao
muwezesha kushinda. Unaweza vote kila baada ya lisaa. Naombeni tuondoe
tofauti zetu tumpigie kura msanii wetu, kama yetu na shemeji yetu
@diamondplatnumz. Umoja ni nguvu
For Diamond to Win Best Male click:
http://pixelperfection.co.za/2014-mama/vote-best-male.html and then select Diamond on the drop List.
For Diamond to Win Best Collaboration click:
http://pixelperfection.co.za/2014-mama/vote-best-collaboration.html and then select Diamond feat Davido- ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria) on the drop down list.
VOTE NOW AND SPREAD THE WORD.
Voting has started and it will last until midnight 4 June 2014



No comments:
Post a Comment