Friday, 6 June 2014

Sikiliza simulizi la ukatili aliofanyiwa binti huyu na mwajiri wake

Sikiliza simulizi la ukatili aliofanyiwa binti huyu na mwajiri wake

Sehemu ya majeraha kwenye mwili wa binti aliyejeruhiwa na mwajiri wake
Dina Marios katika blog yake ameweka picha zinazomwonesha bingi mmoja ambaye mwili wake umeharibiwa kwa majeraha yanayodaiwa kutokana na kung'atwa na kuchomwa kwa pasi ya moto na mwajiri wake.
Katika chapisho hilo, Dina anasema mkasa wa yaliyompata binti huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyekuwa anafungiwa ndani tu huku akifanya kazi kwa mwajiri wake tangu miaka mitatu iliyopita, utasimuliwa na Gea Habib katika kipengele cha "Heka Heka" katika kipindi cha "Leo Tena" kinachosikika katika Radio Clouds FM.

No comments:

Post a Comment