RAY AZIDI KUMCHANGANYA CHUCHU HANS KWA KUFANYA HIVI...SOMA ZAIDI
Love
is blind lakini wanaopenda wana macho. Hapa inajidhihirisha kwa Chuchu
hans, baada ya kuzunguka sana mwisho wa siku kufika alipotaka. Mwanadada
huyo alikuwa Miss Tanga 2010 na kuingia bongo movie yuko ndani ya
mapenzi mazito sana na legend wa bongo movie Raymond Kigosi a.k.a Ray ,
ceo wa RJ company.
Katika
kuonyesha how deep her love kwa kijana huyo Chuchu aliamua kujichora
tatoo yenye jina na Star huyo na kwa sasa Ray ameshahama kwao na kuhamia
sehemu nyingine kuishi na binti huyo wa kitanga mwenye muonekano wa
point five yani chotara flani na kwa sasa wawili hao wanaishi pamoja.
So
kama kuna anaesubiri waachane leo au kesho basi wawili hawa bado wapo
sana na hata ndoa haitakuwa mbali sana kwani tulipombana mdada huyo
alijikanjaga na kuropoka kwamba target yao ni kuoana ila hajajua itakuwa
lini lakini lazima ndoa itakuwepo , basi tuwatakie kila la kheri
wawili hawa….

No comments:
Post a Comment