RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR ES SALAAM.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu
wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya
Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es salaam
leo Mei 6, 2014
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe alikuwepo pia
PICHA NA IKULU


No comments:
Post a Comment