Stara Ya Mavazi
Stara ni kitu kizuri sana kwa mwanamke na kwa wale ambao wanahisi ni utumwa kujistiri basi unaweza kujipangilia tu namana ya kuvaa kama picha zinavyo onekaana na ukapendeza nauvaaji kama huu unapendeza sana kwa wale wafanyakazi manaake sio ofisi zote zinaruhusu uvaaji wa Abaya jifunze kuvaa kupitia hapa












No comments:
Post a Comment