Wednesday, 4 June 2014

PICHA:AJALI YATOKEA BANK YA CRDB

PICHA:AJALI YATOKEA BANK YA CRDB

Kumetokea ajali kwenye bank.ya CRDB morogoro wakati mfanyakazi wa bank hiyo Bi Jane Maganga akiwa anaigesha gari ghafla ikaingia ndani ya bank hakuna mtu alioripotiwa kupata majeraha au kufa. Ukarabati wa eneo la ajali umefanyika na huduma za kibenki zinaendelea. 

No comments:

Post a Comment