Picha Za Magari Mapya Ya Kifahari Ya Psquare Na Gharama Zake
“Crazy Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari
mapya aliyoonesha ni pamoja na Wrangler Jeep ya mwaka 2014 ambayo kwa
sasa inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo inauzwa
kuanzia $177,500.
No comments:
Post a Comment