Jeneza likishushwa kaburini.
Kaburi la Deborah.
Watoto wa marehemu wakiweka shada kaburini.
Picha ya marehemu.
MWIMBAJI wa
Injili, Deborah John Said, aliyefariki Juni 19 mwaka huu kwa tatizo la
kansa, alizikwa jana, Juni 23, kwenye makaburi ya Makuburi-Jeshini
jijini Dar es Salaam ambapo waombolezaji wengi walihudhuria mazishi
hayo.Marehemu ameacha mume na watoto wanne.
(Na Gabriel Ng’osha/GPL)
No comments:
Post a Comment